Je kundi la wapiganaji wa ADF ni kundi gani?
Je kundi la wapiganaji wa ADF ni kundi gani?

Chanzo cha picha, Islamic State Propaganda
Wanafunzi nchini Uganda walikuwa wakiimba nyimbo za injili kabla ya shambulio baya la wanamgambo wa Kiislamu siku ya Ijumaa, mwanamke anayeishi mkabala na shule hiyo anasema.
Hili ni moja ya shambulio hatari nchini Uganda katika zaidi ya muongo mmoja lililowahi kutekelezwa na ADF.
Lakini je, hawa ADF ni nani haswa? Elizabeth Kazibure anaarifu zaidi...



