“Nilidhani nitaolewa na tajiri, lakini nikagundua sio rahisi hivyo”
“Nilidhani nitaolewa na tajiri, lakini nikagundua sio rahisi hivyo”

Chanzo cha picha, @zarithebosslady
Kutana na Zarinah Hassan maarufu kama Zari the Boss Lady, mfanyabiashara na mmoja kati ya wanawake wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii ambaye ana asili ya Uganda akijibu maswali yetu matano kuhusu masuala mbali mbali katika maisha yake.
Video na Peter Mwangani na Judith Wambare






