'Nitakufa leo': Aliyempokonya bunduki mshambuliaji wa Pakistan
'Nitakufa leo': Aliyempokonya bunduki mshambuliaji wa Pakistan
Raia mmoja aliyechukua bunduki aina ya Kalashnikov AK47 kutoka kwa mmoja wa washambuliaji wawili wa kujitoa mhanga aliyeshambulia eneo la polisi kaskazini magharibi mwa Pakistan ameelezea wakati shambulio hilo lilipotokea.
Mohammed Arshad alikuwa akitembelea eneo la Bara, Khyber Pakhtunkhwa, kwa ajili ya biashara wakati aliposikia milio ya risasi. Polisi wanne waliuawa na wengine 11 kujeruhiwa katika shambulio hilo la Julai 20.




