M23 ndani ya Bukavu: Je inaweza kuleta vita vya kikanda?
M23 ndani ya Bukavu: Je inaweza kuleta vita vya kikanda?
Hatua ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Bukavu ambao ni wa pili kwa ukubwa katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo innaonekana kulemaza juhudi za kikanda na kimataifa za kutafuta ufumbuzi wa mzozo unaoendelea kufukuta.
Lakini kuchukuliwa kwa Bukavu ni muhimu kiasi gani kwa M23 na je kunaweza kusababisha mgogoro wa kikanda.
Mwandishi wa BBC Munira Hussein anaeleza kwa undani.



