Mgahawa wenye wahudumu wenye ulemavu wa kutosikia
Mgahawa wenye wahudumu wenye ulemavu wa kutosikia

Je umejifunza lugha ya ishara au bado?Iwapo hujajifunza basi huenda ukawa huna bahati ya kula Ice cream tamu kutoka katika mgahawa mmoja nchini Uganda ambao wateja wake huagiza chakula na vinyawji kwa kutumia lugha ishara.
Asilimia kubwa ya wahudumu wa mgahawa huu wana ulemavu wa kusikia na kuzungumza. Je ungependa kufahamu ni kwanini?
Mwandishi wa BBC Agnes Penda aliutembelea mgahawa huo uliopo Jinja nchini Uganda na kujifunza mambo mengi.



