Mafuriko Manyara: 'Mke wangu na watoto watatu wamefariki, mmoja hajulikani alipo'
Mafuriko Manyara: 'Mke wangu na watoto watatu wamefariki, mmoja hajulikani alipo'
Ikiwa ni siku kadhaa baada ya mafuriko makubwa yaliyosababisha Vifo 80 na majeruhi kadhaa wilayani Hanag, Fanuel John amesimulia namna alivyopoteza familia ya watoto wanne na mke wake katika mafuriko hayo.