'Nilianza kurekodi matangazo yote ya BBCSwahili mwaka 2014'
'Nilianza kurekodi matangazo yote ya BBCSwahili mwaka 2014'
Kijana wa Kitanzania Nakoleli Thadeus Hongoli maarufu kwa jina la BBC mjini Njombe nchini Tanzania amekuwa akirekodi matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya BBC radio na Televisheni kuanzia mwaka 2014 na bado anaendelea na kazi hii inayomgharimu wastani wa dola moja na nusu hadi mbili kila siku kwa ajili ya manunuzi ya vifurushi vya intaneti
Mwandishi wa BBC amemtembelea kijana huyo ili kujua haswa kwanini amekuwa akihifadhi taarifa hizo



