Tazama: Msanii wa Tanzania Dipper Rato anavyopania kukuza mziki wa Rege
Tazama: Msanii wa Tanzania Dipper Rato anavyopania kukuza mziki wa Rege
Mwanamuziki wa Rege nchini Tanzania Dipper Bonaventure Kivuyo almaarufu ‘Dipper Rato’ amedhamiria kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye muziki huo kutokana na kutopewa kipaumbele na wengi.
Dipper ambaye pia anashikilia Tuzo ya Ragga Dancehall mara mbili mfululizo tofauti na muziki amekua balozi mkubwa wa utalii na mwelimisha rika hasa kwa mabinti wa jamii ya kimaasai kwenye maswala ya hedhi na ukuaji Eagan Salla ametuandalia taarifa ifuatayo kutoka Mkoani Arusha.



