Fahamu mambo makuu aliyofanya Trump ndani ya mwezi mmoja
Fahamu mambo makuu aliyofanya Trump ndani ya mwezi mmoja
February 20 Rais wa Marekani, Donald Trump alikamilisha mwezi mmoja tangu alipochukua rasmi hatamu ya uongozi wa Marekani 2025.
Donald Trump ameidhinisha amri kadhaa za kiutendaji baada ya kurejea katika Ikulu ya Marekani, akiahidi kuchukua hatua za haraka katika baadhi ya ahadi alizotoa wakati wa kampeni.
Mwandishi wa BBC Mariam Mjahid anaangazia baadhi ya hatua Trump alizochukua tangu aingie madarakani



