Tazama: Jinsi ulimwengu ulivyosherehekea kuwasili kwa 2025
Tazama: Jinsi ulimwengu ulivyosherehekea kuwasili kwa 2025
Dunia imesherehekea kuwasili kwa 2025 kwa maonyesho ya kuvutia ya fataki. New Zealand na Australia zilikuwa baadhi ya nchi za kwanza kusherehekea mwaka mpya, zikifuatiwa na nchi nyingine za Asia na Mashariki ya Kati na Afrika.