Fahamu nguvu isiyo ya kawaida ya kinyesi
Fahamu nguvu isiyo ya kawaida ya kinyesi
Siku ya Choo Duniani: Nguvu isiyo ya kawaida ya kinyesi na jinsi inavyoweza kusaidia kuokoa sayari
Kuanzia kuwezesha umeme wa nyumbani hadi mbolea kwa mazao, je, kinyesi chetu kinaweza kutatua baadhi ya matatizo makubwa zaidi duniani?
Je, kinyesi kinaweza kuokoa sayari?
Pata maelezo zaidi kuhusu Siku ya Choo Duniani ya Umoja wa Mataifa (19 Novemba) ambayo inalenga kuongeza uelewa wa watu bilioni 3.6 wanaoishi bila huduma za usafi zinazosimamiwa kwa usalama.




