'Kufundishwa kuogopa': Adhabu ya viboko shuleni Kenya

Maelezo ya video, Africa Eye: Adhabu ya viboko shuleni Kenya
'Kufundishwa kuogopa': Adhabu ya viboko shuleni Kenya

Adhabu ya viboko katika shule za Kenya ilipigwa marufuku zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Lakini uchunguzi wa BBC umegundua kuwa walimu wa shule wanawapiga wanafunzi wao kila siku. Na matokeo yanaweza kuwa mauti.

Tom Odula wa Africa Eye anaripoti.