Teknolojia ya magari ya umeme inavyotumika kuimarisha utalii Tanzania

Maelezo ya video, Teknolojia ya magari ya umeme inavyotumika kuimarisha utalii Tanzania
Teknolojia ya magari ya umeme inavyotumika kuimarisha utalii Tanzania
.

Teknolojia ya magari yasiyotumia mafuta huenda sasa yakapunguza uchafuzi wa mazingira pamoja na kupunguza kelele kwa wanyamapori pale watalii wanapotembelea hifadhi mbalimbali.

Magari kadhaa yanayohudumia watalii nchini Tanzania kwa sasa yanatumia umeme na hivyo kupunguza gharama za uendeshaji lakini pia kuwapa urahisi watalii kuona na kuvisikia vivutio mbalimbali hifadhini kwa urahisi.

Mwandishi wa BBC, Lasteck Mushi ametuandalia taarifa hii kutoka Arusha, Kaskazini mwa Tanzania.

Video: Eagan Sala