Kwa nini mataifa yenye nguvu duniani 'yanaipigania' Afrika?
Kwa nini mataifa yenye nguvu duniani 'yanaipigania' Afrika?
Maafisa wakuu kutoka Marekani, China, Urusi na Uturuki wametembelea nchi 14 za Afrika mwezi Januari pekee.
Msururu wa ziara hizo unachagizwa na uzito wa kidiplomasia wa bara hilo kufuatia uvamizi wa Urusi nchini Ukraine miongoni mwa mambo mengine.
Beverly Ochieng anaeleza.



