Sensa Tanzania: Yote unayohitaji kujua
Sensa Tanzania: Yote unayohitaji kujua
Tanzania imebakiza siku sita tu kufanya sensa ya watu na makazi.
Mwandishi wa BBC Lulu Sanga amekuandalia taarifa fupi inayojibu maswali 11 yanayoulizwa zaidi kuhusu sensa.



