Mzozo wa DRC: Je, chimbuko la vita vya mashariki mwa Congo ni nini?
Mzozo wa DRC: Je, chimbuko la vita vya mashariki mwa Congo ni nini?
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kumeshuhudiwa mzozo na ukosefu wa utulivu kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu.
Hata hivyo katika muongo mmoja uliopita mapigano makali yamezuka mara kwa mara.
Je, machafuko haya yalianzaje?, M23 wanahusika vipi na kwanini Rwanda inatajwa?
Mwandishi wa BBC anaelezea zaidi.



