Uchaguzi wa Kenya 2022: Hakuna atakayesalimika katika vita dhidi ya ufisadi

Maelezo ya video, Raila: Hakuna mtu atakayesalimika katika kampeni ya kupambana na ufisadi
Uchaguzi wa Kenya 2022: Hakuna atakayesalimika katika vita dhidi ya ufisadi

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga anasema hakuna mtu atakayesalimika katika kampeni ya kupambana na ufisadi ambayo anaahidi kuitekeleza ikiwa atachaguliwa kuwa rais katika uchaguzi wa mwezi ujao.

Mwandishi wa BBC Anne Soy amezungumza naye kuhusu mapungufu yaliyopo katika vita dhidi ya ufisadi.