Jinsi tai anavyosaidia Israel kupata raia wake waliouawa katika shambulio la Hamas
Jinsi tai anavyosaidia Israel kupata raia wake waliouawa katika shambulio la Hamas
Israel inatumia ndege wawindaji kusaidia kupata miili ya watu waliouawa katikashambulio la Hamas la tarehe 7 Oktoba.
Mamlaka yake ya Asili na Hifadhi za kiraia tayari inafuatilia mienendo ya ndege na kupitisha taarifa kwa mamlaka husika. Inasema tai mmoja amesaidia kupata miili minne.
Michael Shuval wa BBC Idhaa ya Kiarabu amezungumza na mwanaikolojia anayefuatilia ndege huyo



