‘Furaha yetu imeongezeka mara tatu’ - Kutana na wanaume wa Thailand walio katika uhusiano
‘Furaha yetu imeongezeka mara tatu’ - Kutana na wanaume wa Thailand walio katika uhusiano
Nini hufafanua upendo?
Kwa kukaidi kanuni za kawaida za uhusiano, vijana watatu nchini Thailand wamekumbatia ‘uhusiano wa pande tatu'.
Je, Maisha yako vipi katika uhusiano wa aina hii na changamoto ni zipi?