Kwa nini kuna uhaba wa noti za naira na kwa nini Wanigeria wanaandamana?

Maelezo ya video, Katika wiki za hivi karibuni, Wanigeria wengi wameachwa bila pesa za kulipia bidhaa muhimu
Kwa nini kuna uhaba wa noti za naira na kwa nini Wanigeria wanaandamana?

Katika wiki za hivi karibuni, Wanigeria wengi wameachwa bila pesa za kulipia bidhaa muhimu, kutokana na uhaba wa noti mpya za naira.

Matokeo yake, maandamano ya ghasia yalizuka katika maeneo kadhaa. Katika azma ya kutuliza mvutano, Rais Muhammadu Buhari alitangaza kwamba moja ya noti tatu zinazoondolewa itarejeshwa katika mzunguko.

Benki Kuu ya Nigeria ilizindua noti mpya za naira 200, 500 na 1000 zilizobuniwa mwezi Novemba mwaka jana, zenye lengo la kuzuia mfumuko wa bei unaoongezeka, uhifadhi wa fedha na bidhaa ghushi.

Kwa nini kuna uhaba wa noti za naira na kwa nini Wanigeria wanaandamana?

mm