'Kwangu mimi, uongozi hauna jinsia' asema mgombea uchaguzi Kenya

Maelezo ya video, Uchaguzi wa Kenya 2022: 'Kwangu mimi, uongozi hauna jinsia'
'Kwangu mimi, uongozi hauna jinsia' asema mgombea uchaguzi Kenya

Kwamboka Kibagendi ndiye mtu wa kwanza anayejulikana kuwa jinsia mbili (tofauti) nchini Kenya kuwania wadhifa wa kisiasa.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 34 anawania kiti cha bunge la kaunti Nairobi kwa tiketi ya chama kikubwa cha kisiasa.

Video: Anthony Irungu na Mildred Wanyonyi