Kwanini Qatar inatuhumiwa 'kujitakasa kimichezo'
Kwanini Qatar inatuhumiwa 'kujitakasa kimichezo'

Kombe la Dunia linakaribia kuanza lakini utata unaohusu haki za wapenzi wa jinsia moja, haki za wafanyakazi na uhuru wa kujieleza nchini Qatar unaendelea.
Hii imesababisha madai kuwa nchi hiyo inajaribu "kusafisha" sifa yake kwa kuandaa mashindano hayo.
Lakini kujitakasa kimichezo ni nini na je neno hili ni sahihi?



