Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kalonzo: Upinzani Kenya uko imara hata baada ya 'Baba'
Kalonzo: Upinzani Kenya uko imara hata baada ya 'Baba'
Kiongozi wa Upinzani Kalonzo Musyoka amemtaja Raila Odinga kuwa kiongozi shupavu aliyeipagania Kenya kwa dhati kwa miaka mingi na kusema atamkumbuka kwa mchango wake mkubwa katika kuhakikisha haki,uhuru na demokrasia Kenya vinaheshimiwa.
Bwana Kalonzo amekiri itakuwa changamoto kubwa kujaza nafasi ya Marehemu Odinga lakini amesisitiza hakuna ombwe kwenye upinzani nchini humo licha ya 'Baba' kufariki dunia.
Alizungumza na mwandishi wa BBC, Caro Robi.