Mtindo wa boti au mashua kupewa majina ya kike umekuwa maarufu duniani

Nchini Kenya, huko Kisumu, wavuvi wengi hutumia majina ya kike wakiamini kwamba, mwanamke huwa mwenye bahati zaidi kuliko mwanaume