Taswira ya soko la kahawa inavyobadilika Tanzania
Zao la Kahawa nchini Tanzania limeendelea kuwa kwenye nafasi ya juu zaidi katika soko la dunia, ikiwa ni nchi ya nne barani Afrika huku Ethiopia ambaye ndio mzalishaji na muuzaji mkubwa katika bara hilo, kwa kipindi cha miaka 20.
