Kakao ya Kyela inaenda wapi?

Zao la Kakao nchini Tanzania limekuwa likilimwa kwa miongo kadhaa katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya nyanda za juu kusini mwa nchi hiyo.

Licha ya zao hilo kuchukuliwa kama zao la kibiashara linaloongeza tija katika uchumi wa taifa hilo mpaka kuwa na mfumo rasmi wa vyama vya ushirika katika uuzaji wake, lakini hakuna mashamba rasmi ya zao hilo.

Kakao inaitwa dhahabu ya kijani ambayo inatoka katika mti unaotoa kivuli nyumbani, kakao yake ni ya asili yaani organic iliyoingia katika soko la dunia.

Ila cha kustaajabisha wakulima hawajui matumizi ya zao hilo;

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa ametuandalia taarifa ifuatayo;