Ziwa Nyasa: Samaki aliye rahisi kupatikana ila ni chaguo la mwisho kuvuliwa

Samaki wa rangi huwa wanapendeza ukiwakuta pembezoni mwa Ziwa Nyasa.

Mara nyingi samaki hawa huwa wanavuliwa kwa ajili ya mapambo ya majumbani.

Lakini katika fukwe za Matema nyanda za juu kusini mwa Tanzania, mkoani Mbeya, samaki hao huwa ni chaguo la mwisho katika kuvuliwa kama kitoweo.

Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa alizungumza na mvuvi Fredrick Mwansela na kumueleza utofauti wa samaki hao na wengine.

Video:Eagan Salla