Angela Merkel:Ujerumani itamkumbuka vipi kansela huyu?

Maelezo ya video, Angela Merkel:Ujerumani itamkumbuka vipi kansela huyu?

Wajerumani wanajiandaa kumuaga Angela Maerkel, ambaye amekuwa madarakani kama kansela kwa miaka 16, Jumapili baada ya uchaguzi atakuwa amekamilisha muhula wake wa mwisho kama kansela wa Ujerumani.

Je ameacha urithi gani kwa kizazi kilichopo na matumaini kwa kizazi kijacho ?