Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mike brown: Mtanzania anayejizolea maelfu ya dola kwa kufuga mbwa
Kwa miaka sita sasa kijana wa kitanzania Mike brown ana tengeneza zaidi ya shilingi milioni mia moja fedha za kitanzania sawa nawastani wa dolla elfu 45 za Kimarekani kila mwaka kwa kuuza mbwa
Kijana huyu ambaye ana elimu ya shule ya msingi alikuwa mjasiriamali kwa muda akiuza vyombo minadani kabla ya kuhamia kwenye biashara ya simu na sasa mfugaji wa mbwa na mkulima
Mike anaamini iwapo vijana watatumia elimu zao kujiajiri tatizo la ajira litakoma nchini.
Eagan Salla alimtembelea jijini Arusha na hii ni simulizi yake.