Mti uliodumu miaka milioni 20 ambao haujawahi kuonekana eneo lingine wapitikana chini ya barabara

Mti wa kale ulipatikana wakati wa ujenzi wa barabara, unadaiwa kuwa uvumbuzi wa ajabu.

Wanasayansi wanasema hakujawahi kupatikana mti wa aina hiyo eneo lolote lile.