Mpiga picha aliyehatarisha maisha yake kutengeneza makala kuhusu Boko Haram

Mpiga picha wa Nigeria Nelly Ating, ametengeneza makala ya wahanga wa Boko Haram tangu mwaka 2014.

Angalia baadhi ya picha alizoweza kuzikusanya katika makala yake.