Uchaguzi Tanzania 2020: Hali ilivyo Zanzibar wakati wa uchaguzi

Leo hii kisiwani Zanzibar, Maduka mengi yamefungwa na watu wachache tu ndio wamejitokeza barabarani.