Kampuni ya simu ya Samsung yazindua simu mpya zilizo na uwezo wa kujikunja!

Kampuni ya Samsung imezindua simu mpya janja yenye uwezo wa kujifunga na kujifungua na pia ilio na ukubwa wa nchi 6.2 ikilinganishwa na ili ya zamani iliokuwa na ukubwa wa nchi 4.6.vile vile ina onyesho kubwa zaidi.Je simu unayotumia ina uwezo wa aina gani? Sema nasi kwenye ukurasa wa Facebook, wa BBCSwahili.