Pombe ya Johhnie Walker Kuwekwa kwa chupa ya karatasi
Johnnie Walker, kileo aina ya Whiskey ambacho kimetengezwa kwa Zaidi ya miaka 200 kitapatikana kwa chupa za karatasi sasa kama njia ya kulinda mazingira. Diageo, kampuni inayomiliki kinywaji hiki imesema inanuia kuanza mpango huu mwaka ujao.. unadhani kampuni zingine zinafaa kuiga kampuni hii? Sema nai kwenye ukurasa wetu wa Facebook, BBCSwahili.
