Mcheza sarakasi mwenye ulemavu wa miguu

Ellen Ball alifikiri kuwa kipaji chake cha kucheza sarakasi kimeisha mara baada ya kupata ajali mwaka 2014.

Lakini sasa anatumia miguu bandia ambayo imefanya maisha yake kubadilika katika sanaa hiyo.