Virusi vya corona: Ni lini Chanjo ya corona itapatikana?

Shirika la afya duniani lilisema kuwa chanjo dhidi ya corona itatengenezwa katika kipindi cha miezi 18.

Lakini swali ni lini watu wataipata chanjo hiyo?