Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Coronavirus: Je Watanzania wanaufahamu kuhusu coronavirus?
Idadi kubwa ya watu nchini Tanzania, wameonekana kuwa na pilikapilika nyingi za kununua vifaa kinga kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. BBC ilitaka kufahamu ikiwa raia wa Tanzania wanaelewa umuhimu wa kujikinga dhidi ua maambukizi ya ugonjwa wa corona.
Video na Eagan Salla