Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa wake wengine wawili. Asif Rafiq Siddiqi, aliokolewa na wapita njia .Kuoa mke zaidi ya mmoja ni halali nchini Pakistan.