Familia yasema kifo cha Bi.Verdiana kitampa mapumziko

Familia yasimulia jinsi Erick Kabendera alivyopokea taarifa za kifo cha mama yake gerezani.

Vilevile familia imeeleza namna bi.Verdiana alivyougua sana, hivyo ni muhimu kupumzika.