Saasab, muziki wa asili uliochanganywa na midundo ya sasa

Kundi la waandaaji muziki mjini Nairobi wamekuwa wakifanya mradi wa muziki katika nchi nzima kwa takribani mwaka mzima.

Na sasa wamezindua video inayoonyesha mchanganyiko wa muziki wa asili na sasa.