Mkasa wa lori la mafuta katika mji wa Morogoro umewaacha wengi na msongo wa mawazo

Maelezo ya video, Mkasa wa Morogoro

Mbali na Vifo, na majeruhi mkasa wa Morogoro umewaacha Watanzania wengi na msongo wa mawazo, ambao na baadhi wasema itakuwa vigumu kusahau tukio la mkasa uliowauwa na kuwajeruhi wapendwa wao.