Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mimba za utotoni Mtwara
Mimba za utotoni zimekuwa zikikatisha ndoto za wanafunzi wengi wa kike, baada ya kukata tamaa ya kuendelea na masomo.Mkoa wa Mtwara ni moja ya mikoa nchini Tanzania ambako watoto wengi wa kike hukatisha masomo kwa ujauzito.
Taarifa iliyotolewa na mkoa huo inasema kuanzia Januari mpaka Septemba mwaka huu jumla ya wanafunzi wa shule ya msingi na dekondari wapatao 141 walipata ujauzito mkoani humo.
Halima Nyanza anaarifu zaidi.