BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Mashambulizi ya Urusi yaua watu 10, Zelensky akisema Ukraine imelenga meli za mafuta
Maafisa katika maeneo matano nchini humo waliripoti vifo huku Moscow ikiendelea kulenga miji ya Ukraine kwa mashambulizi ya anga ya mara kwa mara.
Kenya inavyopambana kudhibiti "wahuni na silaha" huku hofu ya vurugu za kisiasa ikiongezeka nchini Kenya
Historia ya Kenya ya kutumia makundi ya kihalifu yaliyoungwa mkono kisiasa inaanzia miaka ya mapema ya 1990, wakati mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa.
"Nimechagua kutokuwa na watoto"- Wanawake Nigeria wapinga nadharia kuwa lazima uwe mama
Katika jamii nyingi za Nigeria,thamani ya mwanamke bado inahusishwa na uwezo wake wa kuoleka na kuzaa, ila kwa sasa wanawake wengi nchini Nigeria wanachagua kutokuwa na watoto, si kwa sababu ya kushindwa kujifungua, bali kwa hiari yao wenyewe.
Iran yasema vita na Marekani huenda vikaanza tena
Kwa mujibu wa Mohammad Asadi, Naibu Mkaguzi wa IRGC, majeshi ya Iran yako tayari kujibu shambulio lolote litakaloweza kutokea.
Tetesi za soka Jumapili: Liverpool yamuwania Beukema wa Napoli
Liverpool wametoa ofa ya kumnunua mlinzi wa kati wa Uholanzi, Sam Beukema.
Nifunge ndoa na muuaji? simulizi ya mapenzi iliyofichua muuaji
Filamu ya uhalifu halisi inamfuatilia mwanamke anayekabiliwa na uamuzi mgumu unaobadili maisha baada ya mchumba wake kutoa ungamo la kushtua.
Vita vya Iran vilivyochochea madai ya uongo kuhusu 'wizi wa mawingu'
Uchavushaji wa mawingu ni mbinu ya kuchochea mabadiliko madogo ya hali ya hewa kwa kutumia mawingu yaliyopo ili kusaidia kuzalisha mvua au theluji zaid
Je, wajua kuna 'gereza' la watu wanene kupitia kiasi?
"Baadhi ya watu hupungua uzito sana, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa la kuvutia, lakini wengi hurejesha haraka mara tu wanaporejea katika maisha yao ya kawaida, kwa sabab au matatizo ya msingi hayajashughulikiwa," anasema Luke Hana.
Zijue faida nne za kiafya za kutoka nje wakati wa mvua
"Kadri mvua inavyokuwa kubwa, ndivyo uwezo wake wa kuleta faida mwilini unaongezeka ," anasema Profesa wa Sayansi ya Dunia, Dan Cziczo.
Iran yawasilisha pendekezo jipya la mazungumzo kwa Marekani
Iran imewasilisha pendekezo jipya kwa Marekani kupitia Pakistan kwa ajili ya mazungumzo ya kumaliza vita,shirika la habari la IRNA limeripoti
Ubalozi wa Iran watumia vipi mtandao wa X kama silaha wakati wa vita?
Badala ya kutumia lugha ya kawaida ya kidiplomasia, akaunti za mitandaoni za Iran zilichukua mkondo usio wa kawaida kwa kutumia vichekesho, kejeli na majibu yaliyoratibiwa kwa lengo la kuunda simulizi, kupinga ukosoaji na kuwajibu maafisa wa Marekani.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mwanaume aliyetangazwa kufa na kuzikwa arudi nyumbani baada ya siku moja
Mwili ulipelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Masindi, ambapo matangazo yalitolewa kwa watu wenye watu waliopotea ili kusaidia katika utambuzi.
Baada ya ripoti ya Jaji Chande njia tatu zitakazoamua mustakabali wa Tanzania
Tanzania ina njia tatu za kuchagua kuhusu mustakabali wake, kufuatia ripoti ya Jaji Chande. BBC imezichambua njia hizo na kile kinachofuata Tanzania baada ya ripoti hiyo ya matukio ya Oktoba 29, 2025
Glasi moja ya bia inaweza kuimarisha afya ya ubongo na kuongeza vitamini mwilini - utafiti
Kulingana na utafiti, lita moja ya bia inaweza kuwa na kati ya miligramu 0.3 hadi 1 ya vitamini B6.
Nani hufanya maamuzi nchini Iran?
Donald Trump ameutaja uongozi wa Iran kuwa "umegawanyika" na kusema Marekani inasubiri Tehran kuwasilisha "pendekezo la umoja".
Ukimya wa Al Qaeda juu ya vita vya Iran, Marekani na Israel una maana gani?
Baada ya mashambulizi ya 9/11, viongozi wengi muhimu wa Al-Qaeda na familia zao walikimbia Afghanistan na Pakistan na kwenda Iran.
Kwanini Afrika inataka ramani mpya ya dunia?
Togo inapania kuwahimiza mataifa wanachama wa Umoja wa Mataifa, kuja na ramani ambayo inaelezea ukubwa halisi wa bara Afrika na kutupilia mbali ramani ya Mercator.
Tume ya uchunguzi yasema watu 518 walifariki dunia wakati wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Tume imesema idadi hyo inaweza kuwa kubwa zaidi kwani Tume inasema kuwa kuna uwezekano kuwa baadhi ya familia zimezika wapendwa wao bila kuwafikisha katika vituo vya kutolea huduma ya afya au hawakupata fursa ya kuja mbele ya tume.
Maswali muhimu kuhusu ripoti ya Oktoba 29 yanayohitaji majibu
Maswali kadhaa muhimu yanaendelea kujitokeza miongoni mwa wananchi na wadau nchini Tanzania yakilenga si tu kuelewa yanayozunguka kilichotokea Oktoba 29, bali pia kilichoripotiwa na tume na mustakabali wa kesho
Mambo matano makubwa katika ripoti ya matukio ya Oktoba 29 Tanzania
Ni ripoti iliyokusanywa kwa miezi kadhaa chini ya Mwenyekiti Jaji Mohamed Chande, ambayo imewahoji maelfu ya watanzania, imetumia picha na video za wakati wa Oktoba 9 na siku zilizofua.
Ripoti ya matukio ya Oktoba 29: Tanzania imefikaje hapa?
Katika kipindi cha siku 153 za uchunguzi, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imetembelea mikoa 11 na wilaya 21, ikikusanya ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kupitia njia mbalimbali, huku swali kuu likibaki iwapo ushahidi huo utaweza kuunganisha taifa au kufungua mjadala mpya wa kisiasa?
Iran haina namna zaidi ya kurejea katika meza ya mazungumzo
Naibu rais wa Marekani JD Vance anayetarajiwa kuongoza mazungumzo hayo nchini Pakistan, bado hajaondoka nchini Marekani na safari yake imehairishwa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Afya yako
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 4 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 1 Mei 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 1 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 1 Mei 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































