BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani yakamata meli ya mizigo yenye bendera ya Iran- Trump
Kwa mujibu wa Rais wa Marekani Donald Trump, vikosi vya Marekani sasa vinaidhibiti meli hiyo, ambayo alisema ilijaribu kukwepa kizuizi cha kijeshi cha Marekani kilichowekwa kwa meli zinazotoka Iran siku ya Jumapili.
Arsenal na mbio za ubingwa EPL, historia inajirudia?
Arsenal kafungwa na City. Swali kubwa linalobaki ni kama Arsenal wataweza kubadilisha simulizi yao ya miaka ya karibuni. Mara nyingi wamekuwa wakianza vizuri, lakini kushindwa kumaliza kazi.
Pango linalobadili mtazamo wa dunia kutokana na siri za miaka milioni 49
Mimea huwa ya kijani kwa sababu ina chlorophyll, ambayo hufyonza nishati ya mwanga. Katika mchakato wa usanisinuru au photosynthesis, nishati hii hubadilisha hewa ya carbondioxide kuwa oksijeni.
Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Chelsea zinamfukuzia Bergvall
Arsenal na Chelsea zinamfuatilia kiungo wa Tottenham Hotspur, Lucas Bergvall. Wakati huo huo, Paris Saint-Germain wako kwenye mazungumzo na Gabriel Martinelli, huku Manchester United na Real Madrid wakimmendea Unai Emery.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema timu ya Marekani inaelekea Pakistan kwa mazungumzo na Iran
Akionya kuwa hakutakuwa tena na “huruma” iwapo mazungumzo yatashindikana, Trump amesema madaraja na vituo hivyo vya umeme “vitaanguka haraka, na vitaanguka kwa urahisi.”
Wanaanga wa Artemis II : 'Tuliondoka kama marafiki,tukarudi tukiwa marafiki zaidi'
Katika kikao chao cha kwanza na wanahabari baada ya kurejea Ijumaa iliyopita, Reid Wiseman, Victor Glover, Christina Koch na Jeremy Hansen walisema walienda angani kama marafiki na wakarudi wakiwa na uhusiano wa karibu sana.
Mikwaju ya penalti ilianzaje katika mpira wa miguu?
Kabla ya penalti, mechi za finali au mtoano zilizoishia kwa sare zilitatuliwa kwa marudio, kwa kucheza bahati nasibu au kurusha sarafu.
Asim Munir: Kutoka mkuu wa ujasusi hadi kuwa mpatanishi wa vita vya Iran
Ni miongoni mwa watu wachache ambao waliwaunganisha viongozi wa Marekani na Iran kupitia mawasiliano ya simu, akipitisha ujumbe kati ya pande hizo mbili kama mpatanishi anayeaminika.
Viboko wa kokeni: Kwa nini Colombia inataka kuwaua viboko wa Pablo Escobar?
Serikali ya Colombia imetangaza mipango ya kuwaua hadi viboko 80 kati ya mamia ya “viboko wa kokeni” waliotokana na dume mmoja na majike watatu walioingizwa nchini na mfanyabiashara wa dawa za kulevya Pablo Escobar kwa ajili ya bustani yake binafsi ya wanyama.
Wanyama wanaofugwa nyumbani wanavyozikwa kifahari nchini Kenya
''Sio paka wakula panya, ni rafiki anayekutoa msongo wa mawazo'', Muthoni Nyokabi, daktari wa mifugo anaiambia BBC.
Uchunguzi wa siri wa BBC wabaini kuwa wahamiaji hujifanya wapenzi wa jinsi moja ili kupata hifadhi
BBC imefichua sekta ya kificho inayowatoza wahamiaji maelfu ya pauni ili kuwasaidia kukwepa mfumo wa kutoa hifadhi.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Marekani itawezaje kuzuia meli za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz?
Marekani itategemea meli zake za majini kudhibiti bandari za Iran, na hivyo kuzuia uwezo wa Tehran kufaidika na mauzo ya mafuta nje ya nchi katika jaribio la kuweka shinikizo kwa nchi hiyo. Itawezekana?
Silaha ambazo Iran ilizitengeneza chini ya vikwazo vilivyobadilisha sheria za mapigano ya angani
Ni silaha ya bei nafuu, inayoweza kutupwa ambayo inaweza kuzalishwa kwa urahisi na kwa wingi. Silaha ambayo haihitaji rubani, haihitaji ardhi adimu, na inaweza kuzalishwa hata chini ya shinikizo la kiuchumi la kizuizi kilichowekwa dhidi ya Iran.
'Natumai vita havitaanza tena': Wairan wana wasiwasi baada ya mazungumzo kutibuka
Mazungumzo dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Marekani na Iran yamezidi kuwa magumu baada ya juhudi za kumaliza vita kati ya pande hizo mbili nchini Pakistan kumalizika bila makubaliano.
Sababu tano zinazotajwa kukwamisha mazungumzo ya Marekani na Iran
Kabla ya mazungumzo hayo, kulikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Pakistan na wadau wa kimataifa kwamba huenda yakaleta mwanga wa suluhisho la kudumu.
Papa atoa kipaumbele kwa Afrika ambako Ukatoliki unakuwa kwa kasi zaidi
Leo XIV anataka dunia ielekeze macho yake katika bara lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa Kanisa Katoliki, amesema msaidizi wake.
Jinsi Iran Ilivyogeuza Mlango wa Hormuz kuwa silaha yenye nguvu zaidi duniani
Ikiwa Iran itajaribu kutoza ada kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, swali kuu ni kama Marekani, nchi za Magharibi, na washirika wa kikanda watakubali hatua hiyo.
Mwaka mmoja wa Tundu Lissu gerezani; nini kinaendelea?
Leo Aprili 9, 2026, imetimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (CHADEMA), kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
Mataifa 10 yanayoongoza katika uzalishaji wa mafuta duniani
Kulingana na mamlaka ya nishati duniani EIA, Iran ina hifadhi kubwa ya mafuta ghafi duniani.
Christina Koch: Mwanamke wa kwanza kusafiri kwenda mwezini
Mwaka wa 1968, Bill Anders, mmoja wa wanamisheni wa Apollo 8, alipiga picha ya Dunia ambayo iliandika historia, kuathiri maisha ya wengi, na kuhamasisha kizazi kizima.
Kusitisha mapigano kwa muda kunaweza kumaliza vita?
Licha ya kuwepo na makubaliano, vita vinaweza kuendelea baada ya vipengele vilivyokubaliwa kutotekelezwa.
Jinsi vikosi maalum vya jeshi la Marekani hufanya oparesheni ya uokoaji wakati wa vita
Operesheni za kuokoa marubani wa Marekani waliopotea au kuanguka zimekuwa chache katika miongo ya hivi karibuni.
Jinsi Pakistan ilivyosaidia kusitisha vita kati ya Marekani na Iran
Ila Pakistan ikiwa mwenyeji wa mazungumzo hayo, swali la kujiuliza ni iwapo matakwa muhimu za kila pande zitakubalika.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 20 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 20 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 20 Aprili 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 17 Aprili 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani



























































