Maswali Yako Yamejibiwa: Je ni kipi unachohitaji kujua kuhusu Uchaguzi wa Kenya?

Je masuala ya haki za wanawake na vijana yameangaziwa katika Uchaguzi huu? Je ni masuala gani unayotaka yaangaziwe katika Uchaguzi huu? Maswali bora yatajibiwa hivi karibuni na waandishi wetu wa habari katika makala mpya

Tuma swali lako

Our data policy

Ingawa tunalenga kusoma barua pepe zote, hatuwezi kukuhakikishia jibu. Tunaweza kujibu barua pepe yako au kuwasiliana nawe kwa ufafanuzi. Ikifaa, maoni unayotoa yanaweza kuhaririwa na kuchapishwa kwenye vyombo vya habari vya BBC duniani kote. Tafadhali sema katika barua pepe yako ikiwa hutaki maoni yako yachapishwe. Maelezo yako hayatapewa mtu yeyote nje ya BBC bila idhini yako.

BBC ndiyo mdhibiti data ya kibinafsi uliyotoa hapo juu. BBC huchakata data hii kwa misingi ya maslahi yake halali kama shirika la habari ili kuweka rekodi za kihariri. Ikiwa una maswali kuhusu jinsi BBC inavyoshughulikia data yako ya kibinafsi, tafadhali tazama Sera ya Faragha ya BBC: http://www.bbc.co.uk/usingthebbc/privacy/

BBC itahifadhi data yako hadi isiwe na haja tena ya kutathmini na/au kurekebisha masuala yaliyoibuliwa.