Twataka kusikia kutoka kwako: Je umetoroka mapigano nchini Ukraine?
Tunatafuta habari kutoka kwa wazungumzaji wa Kiswahili ambao walitoroka vita nchini Ukraine au jamaa zao. Je, maisha yako yanaathiriwa vipi? Je, hali ikoje sasa katika sehemu uliopo? Zungumza kuhusu uliopitia na hali yako ya sasa ukitumia fomu iliyo hapa chini - mmoja wa wanahabari wetu anaweza kuwasiliana nawe hivi karibuni na taarifa yako inaweza kuchapishwa kwenye eneo la juu la tovuti yetu.