Virusi vya Corona: Jinsi marufuku ya misongamano inavyokumbana na vikwazo Afrika

Maelezo ya video, Virusi vya Corona: Jinsi marufuku ya misongamano inavyokumbana na vikwazo Afrika

Kasi ya maambukizi barani Afrika inazidi kuongezeka kila uchao, na vifo pia vikiripotiwa. Katika kukabiliana na kusambaa kwa kasi ya maambukizi, serikali mbalimbali barani Afrika zimechukua hatua ngumu za kutangangaza marufuku ya watu kutoka nje ili kuzuia misongamano ya watu. Je, hatua hizo zinakutana na changamoto zipi? Tazama vieo hii kwa undani zaidi...