Maro Itoje: Je mchezaji huyo mwenye mizizi yake Nigeria ataiwakilisha England au Nigeria?
Maro Itoje, ambaye wazazi wake walizaliwa Nigeria amejipata njia panda kuhusu uwakilishi wa taifa lake .
Anasema anajiona ni mtu wa mataifa yote mawili na wala haoni ugumu kuondoa tofauti iliyopo