Mashindano ya riadha Qatar: Busby asaidiwa na Dabo katika mbio za mita 5,000

Maelezo ya video, Mashindano ya riadha Qatar: Busby asaidiwa na Dabo katika mbio za mita 5,000

Mwanariadha wa Aruba Jonathan Busby akisisaidia hadi utepeni na mwenzake wa Guinea -Bissau's Braima Suncar Dabo baada ya joto la Doha kumlemea katika mbio za mita 5000 upande wa wanaume