Miaka kumi imepita tangu mlinda mlango Kaseja hakuichezea timu ya taifa

Maelezo ya video, Miaka kumi imepita Kaseja hakuichezea timu ya taifa

Juma Kaseja alizungumza na BBC miezi sita iliyopita na kujinadi kuwa bado ana uwezo wa kuichezea timu ya taifa ya Tanzania.